TUZO ZA EATV AWARDS WASHINDI HAWA HAPA

Tuzo za EATV AWARDS washindi hawa hapa alikiba atisha
Historia imeandikwa kwenye tasnia ya sanaa nchini ambapo kwa mara ya kwanza tukio la utoaji wa tuzo za#EATVAwards kwa wasanii wa muziki na filamu Afrika Mashariki, limefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi waMlimani City jijini Dar es salaam. Tuzo hizo zilizoandaliwa na East Africa Television Ltd, zimekuwa za kwanza Afrika Mashariki, ambapo wasanii mbalimbali wamefanikiwa kujinyakulia tuzo zao.Tazama orodha nzima ya washindi hapa chini..Kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume G Nako – 'Original'Sheta –'Namjua'Mwana FA – 'Ahsanteni kwa Kuja'Alikiba – 'Aje' --- MSHINDI Ben Pol – 'Moyo Mashine'Mwana muziki bora wa kike Lilian Mbabazi – 'Yoola'Ruby – 'Forever'Lady Jay dee – 'Ndindindi' --- MSHINDI Linah – 'No stress'Vanessa Mdee – 'Niroge'Mwanamuziki bora chipukizi Manfongo – 'Hainaga ushemeji' --- MSHINDI Feza Kessy – 'Sanuka'Rukia Jumbe (Ruky Baby) – 'Mpasuo'Bright – 'Nitunzie'Mayunga – 'Nice couple'Kundi bora la mwaka Navy kenzo – 'Kamatia chini'--- MSHINDI Mashauzi Clasic - 'Kismat'Team Mistari – 'Tuzidi'Sauti Sol – 'Unconditional bae'Wakali wao – 'Chozi langu utalilipa'Video bora ya mwaka Njogereza – NavioNamjua – ShettaAje – Alikiba -- MSHINDI Don't Bother – Joh MakiniNdindindi – Lady JaydeeWimbo bora wa mwakaDon't bother – Joh MakiniNdindindi - Lady JayedeeKamatia chini - Navy KenzoMoyo mashine – Ben PolAje – Alikiba --- MSHINDI Filamu bora ya mwaka Facebook profileSafari ya Gwalu --- MSHINDI Mfadhili wanguHii ni laanaNimekosea wapiMuigizaji bora wa kiume Meya Shabani KhamisiSalim Ahmed (Gabo) --- MSHINDI Daudi Machael (Duma)Doto Hussein MatotolaSaid MkukilaMuigizaji bora wa kike Chuchu Hansy --- MSHINDI Rachel BithuloFrida Kajala MasanjaKhadija AllyTUZO YA HESHIMADJ Maarufu bongo Boniventure Kilossa(Dj Bonny Love) ndiye mtu aliyepewa tuzo maalum ya heshima, akitambuliwakutokana na mchango wake kwenye tasnia ya sanaa hapa nchini

Comments

Popular posts from this blog