Posts

Showing posts from December, 2016

TUZO ZA EATV AWARDS WASHINDI HAWA HAPA

Image
Tuzo za EATV AWARDS washindi hawa hapa alikiba atisha Historia imeandikwa kwenye tasnia ya sanaa nchini ambapo kwa mara ya kwanza tukio la utoaji wa tuzo za#EATVAwards kwa wasanii wa muziki na filamu Afrika Mashariki, limefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi waMlimani City jijini Dar es salaam. Tuzo hizo zilizoandaliwa na East Africa Television Ltd, zimekuwa za kwanza Afrika Mashariki, ambapo wasanii mbalimbali wamefanikiwa kujinyakulia tuzo zao.Tazama orodha nzima ya washindi hapa chini..Kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume G Nako – 'Original'Sheta –'Namjua'Mwana FA – 'Ahsanteni kwa Kuja'Alikiba – 'Aje' --- MSHINDI Ben Pol – 'Moyo Mashine'Mwana muziki bora wa kike Lilian Mbabazi – 'Yoola'Ruby – 'Forever'Lady Jay dee – 'Ndindindi' --- MSHINDI Linah – 'No stress'Vanessa Mdee – 'Niroge'Mwanamuziki bora chipukizi Manfongo – 'Hainaga ushemeji' --- MSHINDI Feza Kessy – 'Sanuka'Rukia ...

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI DECEMBER 11/2016

Image

ENJOY THE MARKANGEL COMEDY-GOD BLESS U

Cheka na markangel comedy utavunja mbavu kwa vituko

MAGAZETI YA LEO DECEMBER 6

http://www.maswayetublog.com/2016/12/magazeti-ya-leo-jumanne-ya-disemba-6.html